Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Kumbe kila upande una wandishi wake? Tatizo liko hapo. Hakuna ukweli ni chumvi chumvi tu kila upande!Haha.. Ila wale waandishi wa upande wa pili hua wanatia chumvi nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kila upande una wandishi wake? Tatizo liko hapo. Hakuna ukweli ni chumvi chumvi tu kila upande!Haha.. Ila wale waandishi wa upande wa pili hua wanatia chumvi nyingi sana.
Naona mmeanza mambo yenu ya kuleta mvua kwenye kamati ya ufundi.Yaani hawa jamaa sioni ni kwa jinsi gani wataweza japo kuambulia draw.. Hebu na saa 10 ifike haraka.
Aisee tulia usituletee balaa na IbracadabraIbarahim maajabu
Ibracadabra
Magician master
Mkuu lete uhondoo...Goma limeanza
Fanyen mpango weken updates mkuu.. Wengine tupo bush mida hiiGoma limeanza
Mavugo au Mazugo? Anazuga tu tu hana lolote la maana.Half time.Ball possession Simba 53%,lakini sioni kama Simba amefanya cha maana.nafasi kibao wanapoteza,atleast Ajibu na Kichuya.Mavugo anarukaruka tu