Yakiwa Yamebaki Masaa Machache; Tupate dondoo mbili tatu kuhusu Mtibwa Sugar.

Haha.. Ila wale waandishi wa upande wa pili hua wanatia chumvi nyingi sana.
Kumbe kila upande una wandishi wake? Tatizo liko hapo. Hakuna ukweli ni chumvi chumvi tu kila upande!
 
Lakini leo Mavugo akizingua apigwe bench match 5 mfululizo kuanzia ijayo ili kutenda haki kama alivyotendewa Kessy
 
Half time.Ball possession Simba 53%,lakini sioni kama Simba amefanya cha maana.nafasi kibao wanapoteza,atleast Ajibu na Kichuya.Mavugo anarukaruka tu
 
Half time.Ball possession Simba 53%,lakini sioni kama Simba amefanya cha maana.nafasi kibao wanapoteza,atleast Ajibu na Kichuya.Mavugo anarukaruka tu
Mavugo au Mazugo? Anazuga tu tu hana lolote la maana.
 
Sembo harudi hadi mpira uishe. Hakawii kijificha sehemu isiyo na network!
 
SIMBA MNYAMA 2 MIWA 0

MAVUGO NA AJIB

HAPANA CHEZEA MNYAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…