Bado mbiliDAKIKA YA 65
SIMBA 2 MTIBWA 0
SIMBA WAMEAMKA UWANJA UMECHANGAMKA
TUNAJISIKIA FURAHA KUWA WANASIMBA
Turudishe majeshi uwanjaniWell done SSc. Nimeanza tena kuiamini timu yetu ....
dah,mikia fc nlidhani watakaa leo,ila poa,hawajaanza kwenda mikoaniBado mbili
Mkuu kumbe upo msimbazi? nilifikiri unashabikia timu yako ya chama chenuNilisema narudi taifa sasa nimerudi Uhuru kwa nguvu zooote
Hapa uwanjani full raha
Wacha masihala bwanaMkuu kumbe upo msimbazi? nilifikiri unashabikia timu yako ya chama chenu