carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Heshima kwenu wadau na wote wa jamvini hapa, kuna tabia flani nimeiona kwa watu kama watatu hivi sasa nimekuja hapa ili na mie nipata ufafanuzi
kuna rafiki zangu huwa wanakunywa panadol usiku baada ya kunywa pombe wanadai inasaidia asubuh kuondoa maumivu ya kichwa na uchovu wa pombe.mwingne anakunywa panadol then ndo anaanza kunywa pombe lengo ni hilo hilo kuikimbia hang over asubuhi!
sasa mimi nachotaka kufahamu ni kwamba kunywa pombe na hizo panadol hakuna madhara kiafya? Naomba mchango wenu wadau.