yako madhara?

yako madhara?

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Posts
3,664
Reaction score
4,259
Heshima kwenu wadau na wote wa jamvini hapa, kuna tabia flani nimeiona kwa watu kama watatu hivi sasa nimekuja hapa ili na mie nipata ufafanuzi

kuna rafiki zangu huwa wanakunywa panadol usiku baada ya kunywa pombe wanadai inasaidia asubuh kuondoa maumivu ya kichwa na uchovu wa pombe.mwingne anakunywa panadol then ndo anaanza kunywa pombe lengo ni hilo hilo kuikimbia hang over asubuhi!

sasa mimi nachotaka kufahamu ni kwamba kunywa pombe na hizo panadol hakuna madhara kiafya? Naomba mchango wenu wadau.
 
panadol ni mchanganyiko wa paracetamol na caffein na theraputic group yake ni Analgesics - Antipyretics. sasa from laymans language nitakuambia hivi caffein hutumika kama ergogenic aid kwa maana kwamba inaongeza uwezo wa utendaji kazi sijui nisemeje kwa kisawahili rahisi ila kwenye prolonged endurance basi caffeine imeonyesha uwezo mkubwa sana wa kumobilise fatty acids ambazo zaweza kutumika kama fuel na hivyo mwili kuhifadhi glycogen pasi kuitumia.

sasa inapokuja kwenye swala la kuondoa hangover naweza irelate hivi kwamba kwasabbau caffeine ina fanya niliyoyasema hapo juu na ulevi humfanya mtu mwili uchoke sasa anapotaka kuwa fiti basi hutumia ili kubusti mwili asichoke. kumbuka mwili wa binadamu una threshold point.

sikushauri kunywa pombe na dawa manake unainduce something very bad ndani ya mwili wako kwa leo siwez kusema sana but may be Dr. Riwa anaweza kukuelezea vyema zaid.

please mimi sio daktari nimejibu tu kimtaani so naweza nikawa niko wrong sana katika urgument yangu hii.
 
Last edited by a moderator:
Actually ni Sumu kunywa pombe kisha ule panadol its livertoxic na it can kill you!
Panadol ni sawa na paracetamol na aktiv group in paracetamol ni acetaminophen!
So ikichanganywa acetaminophen +alcohol it will destory your liver to the point you will need either a liver transplant or death.And im sure of what im saying cause medicine is my field!
 
Nashukuru kwa majibu mazuri, japo umesema hayako kitaalam ila kwangu nayaona very supportive and productive.

nitaanza campaign ya kuwaondoa rafiki zangu kwenye huu uraibu wa panadol with alcohol kwa misingi ya kukimbia hang over.
 
Last edited by a moderator:
Actually ni Sumu kunywa pombe kisha ule panadol its livertoxic na it can kill you!
Panadol ni sawa na paracetamol na aktiv group in paracetamol ni acetaminophen!
So ikichanganywa acetaminophen +alcohol it will destory your liver to the point you will need either a liver transplant or death.And im sure of what im saying cause medicine is my field!

Mkuu nashukuru sana kwa reply yako..na kwakuwa umedeclare medicine is ur field basi bila shaka majibu yako ni sawia.

the bad thing ni kwamba hata mimi ilikuwa niingie kwenye matumizi hayo ili kuondoa hang over na uchovu kama wenzangu, b'se wao wanakuwa fit kwel asubuh, kabla ya kuchukua huo uamuz nimeleta thread hapa so majibu yako ni somo tosha.

nashukuru sana mkuu.
 
Panadol ni jina la kibiashara la dawa moja Acetaminophen ama maarufu kama paracetamol kimataifa.
Effect inayowaudhi zaidi wanywaji ni maumivu ya kichwa ambayo husababishwa na kupanuka mishipa ya kichwani. Maumivu haya yaweza kutulizwa na dawa hii kwa kudhibiti vichocheo vya maumivu (prostaglandins).
angalizo: pombe na acetaminophen vyote ni viharibifu vikuu vya ini. Madhara ya acetaminophen huongeza zaidi ukitumia na pombe kwa pamoja. Juisi na asali husaidia kuiondoa pombe kwa haraka zaidi mwlini, na kwangu mimi..this is better option.
Btw; kwanini uharibu hekalu la Mungu kwa juhudi zako mwenyewe

tragedy of the commons
 
Thanks mkuu, shule nimeielewa,
 
Actually ni Sumu kunywa pombe kisha ule panadol its livertoxic na it can kill you!
Panadol ni sawa na paracetamol na aktiv group in paracetamol ni acetaminophen!
So ikichanganywa acetaminophen +alcohol it will destory your liver to the point you will need either a liver transplant or death.And im sure of what im saying cause medicine is my field!

wewe medicine yako ni ya nchi gani??? ! Liver transplant???!!!
 
panadol ni mchanganyiko wa paracetamol na caffein na theraputic group yake ni Analgesics - Antipyretics. sasa from laymans language nitakuambia hivi caffein hutumika kama ergogenic aid kwa maana kwamba inaongeza uwezo wa utendaji kazi sijui nisemeje kwa kisawahili rahisi ila kwenye prolonged endurance basi caffeine imeonyesha uwezo mkubwa sana wa kumobilise fatty acids ambazo zaweza kutumika kama fuel na hivyo mwili kuhifadhi glycogen pasi kuitumia.

sasa inapokuja kwenye swala la kuondoa hangover naweza irelate hivi kwamba kwasabbau caffeine ina fanya niliyoyasema hapo juu na ulevi humfanya mtu mwili uchoke sasa anapotaka kuwa fiti basi hutumia ili kubusti mwili asichoke. kumbuka mwili wa binadamu una threshold point.

sikushauri kunywa pombe na dawa manake unainduce something very bad ndani ya mwili wako kwa leo siwez kusema sana but may be Dr. Riwa anaweza kukuelezea vyema zaid.

please mimi sio daktari nimejibu tu kimtaani so naweza nikawa niko wrong sana katika urgument yangu hii.

da umejibu kitaalamu sana hadi nimependa aisee.....
 
tukiangalia chemistry behind iko hivi both alcohol na acetaminophen zinakuwa metabolized na enzyme aitwaye CYP2E1 enzyme member of the P450 complex.

katika mazingira ya kawaida kiasi kidogo cha acetaminophen huwa metabolized kutengeneza kitu ambacho ni sumu zaid kiitwacho NAPQI metabolite hii ni molecule (n-acetyl-p-benzoquinoneime) na ni ili iweze kuwa neutralized na glutathione molecules zinazokaa kwenye ini kawaida.

Chronic alcohol users wana levels kubwa za CYP2E1 enzyme zinazosababishwa na unywaji wa pombe sasa watu hawa wako na chances kubwa za kumetabolize acetaminophen kuwa NAPQ1 ambayo ni sumu hivyo ku-outsrip uwezo wa glutathione ku detoxify and hence results to hepatic damage
 
Back
Top Bottom