panadol ni mchanganyiko wa paracetamol na caffein na theraputic group yake ni Analgesics - Antipyretics. sasa from laymans language nitakuambia hivi caffein hutumika kama ergogenic aid kwa maana kwamba inaongeza uwezo wa utendaji kazi sijui nisemeje kwa kisawahili rahisi ila kwenye prolonged endurance basi caffeine imeonyesha uwezo mkubwa sana wa kumobilise fatty acids ambazo zaweza kutumika kama fuel na hivyo mwili kuhifadhi glycogen pasi kuitumia.
sasa inapokuja kwenye swala la kuondoa hangover naweza irelate hivi kwamba kwasabbau caffeine ina fanya niliyoyasema hapo juu na ulevi humfanya mtu mwili uchoke sasa anapotaka kuwa fiti basi hutumia ili kubusti mwili asichoke. kumbuka mwili wa binadamu una threshold point.
sikushauri kunywa pombe na dawa manake unainduce something very bad ndani ya mwili wako kwa leo siwez kusema sana but may be Dr. Riwa anaweza kukuelezea vyema zaid.
please mimi sio daktari nimejibu tu kimtaani so naweza nikawa niko wrong sana katika urgument yangu hii.
Actually ni Sumu kunywa pombe kisha ule panadol its livertoxic na it can kill you!
Panadol ni sawa na paracetamol na aktiv group in paracetamol ni acetaminophen!
So ikichanganywa acetaminophen +alcohol it will destory your liver to the point you will need either a liver transplant or death.And im sure of what im saying cause medicine is my field!
Panadol ni jina la kibiashara la dawa moja Acetaminophen ama maarufu kama paracetamol kimataifa.
Effect inayowaudhi zaidi wanywaji ni maumivu ya kichwa ambayo husababishwa na kupanuka mishipa ya kichwani. Maumivu haya yaweza kutulizwa na dawa hii kwa kudhibiti vichocheo vya maumivu (prostaglandins).
angalizo: pombe na acetaminophen vyote ni viharibifu vikuu vya ini. Madhara ya acetaminophen huongeza zaidi ukitumia na pombe kwa pamoja. Juisi na asali husaidia kuiondoa pombe kwa haraka zaidi mwlini, na kwangu mimi..this is better option.
Btw; kwanini uharibu hekalu la Mungu kwa juhudi zako mwenyewe
tragedy of the commons