Burundi ndio Nchi ya Afrika nzima?Ni bora nihamie burundi kuliko kuendelea kuishi Tanzania nchi ya wachache.
burundi ni nchi iliyopendekezwa na kiongozi wa juu tanzania kuwa tuhamie huko hii ni baada ya kuhoji mambo ya msingi yanayotugusa moja kwa moja wananchi,badala ya kutoa ufafanunuzi yeye alishauri hivyoBurundi ndio Nchi ya Afrika nzima?
Umeongea ukweli sana! Lakini haya majinga hayatakuelewa! Ni mashetani! Mungu akubariki sana!Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo:
Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa. Hili Lissu asikilizwe. Kama ni uongo sema ni uongo kwa mukibu wa dini yako.
Ni kweli wagombea wa upinzani wanaenguliwa kihuni - hili pia ni kweli
Ni kweli vigogo wanafanyiwa mipango wapite bila kupingwa. Hili halina ubishi.
Ni kweli watoto/ndugu/marafiki wa viongozi wanafanyiwa mipango wachaguliwe. Hili anasema ukweli mtupu.
Kitu ambacho sijui ni dhamira ya kufanya hivi wakali wa chaguzi.
Muogopeni Mungu wenu siku za ujana na uhai wenu. Mambo haya yote yanapita tu . Tungeneze mifumo ambayo inajiendesha yenyewe hata pale nyie mliopo leo mtakapoondoka. madarakani na dunia hii.
Ni kweli Lissu ni mhaini au Kuna jambo la kweli anasema? Inawezekana namna yake ya kuyasema anakosea lakini anachosema ni kweli tupu na kila mtu kinamkera.
Katika mataifa ambayo yanatawaliwa kijeahi Tanzania imo. Wanaotawala hawana hofu ya raia wake. Lakini sijui dhamira yao kufanya hivyo. Maana dhamira ndio jambo la msingi katika kutenda jambo.Ni bora nihamie burundi kuliko kuendelea kuishi Tanzania nchi ya wachache.
Tuongee kwa takwimu, hana uwezo kulinganisha na nani? Hakufanya nini?Selikari imeshajichokea kilichobaki ni kutegemea jeshi la polisi na dhuruma,mimi nashangaa wanaume wazima wanataka kuongozwa na huyu Mama mbona hana uwezo
Mkuu, kuna watu hujitengenezea laana bila kujua. Lissu hana hatia yoyote. Viongozi wanashinda chaguzi pasipo ridhaa ya wananchi mfano uchaguzi wa 2020. Hata Mama Samia alipoingia madarakani alilisema wazi kuwa hafurahishwi! Mungu atatuadhibu kama Taifa tunapotumia neno lake kuapisha viongozi waliochaguliwa kwa hila. Lissu aachiwe,narudia Lissu aachiwe hana hatia.Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo:
Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa. Hili Lissu asikilizwe. Kama ni uongo sema ni uongo kwa mukibu wa dini yako.
Ni kweli wagombea wa upinzani wanaenguliwa kihuni - hili pia ni kweli
Ni kweli vigogo wanafanyiwa mipango wapite bila kupingwa. Hili halina ubishi.
Ni kweli watoto/ndugu/marafiki wa viongozi wanafanyiwa mipango wachaguliwe. Hili anasema ukweli mtupu.
Kitu ambacho sijui ni dhamira ya kufanya hivi wakali wa chaguzi.
Muogopeni Mungu wenu siku za ujana na uhai wenu. Mambo haya yote yanapita tu . Tungeneze mifumo ambayo inajiendesha yenyewe hata pale nyie mliopo leo mtakapoondoka. madarakani na dunia hii.
Ni kweli Lissu ni mhaini au Kuna jambo la kweli anasema? Inawezekana namna yake ya kuyasema anakosea lakini anachosema ni kweli tupu na kila mtu kinamkera.
Ni ukweli mtupu, ila Lissu nae atumie tones zinazokubalika kitamaduni maana nchi ni yetu sisi wenyewe sio ya wazungu. Wazungu wana huruma sana lakini mtawala Mzungu akikuonea huruma ujue Kuna jambo baya analitaka kwako.Mkuu, kuna watu hujitengenezea laana bila kujua. Lissu hana hatia yoyote. Viongozi wanashinda chaguzi pasipo ridhaa ya wananchi mfano uchaguzi wa 2020. Hata Mama Samia alipoingia madarakani alilisema wazi kuwa hafurahishwi! Mungu atatuadhibu kama Taifa tunapotumia neno lake kuapisha viongozi waliochaguliwa kwa hila. Lissu aachiwe,narudia Lissu aachiwe hana hatia.