MAKANZU MAKANZU
Member
- Oct 23, 2019
- 64
- 33
Mungu awe nanyi wadau wote.
Kwanza naomba kujua kama kununua bidhaa katika mtandao wa Amazon kama ni salama au la. Pili naomba msaada kujua kama kuna makampuni ambayo yanahusika na uuzaji wa gold detecters kwa hapa Tanzania, na kama yapo yako mkoa upi.
Tatu naomba kujua kama kuna makampuni au kampuni linaloweza kunisaidia kufanya manunuzi njee ya nchi na kunifikishia mzigi wangu hapa Tanzania.
Nashukuru sana .