Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 139
- 187
AiseeMimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina fuglesang, amabilis batamla, glory, zakaria , mwanzo milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa mh. Salma kikwete na waziri wa elimu wakati huo magreth sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
MkuuAisee
Washenz walikuwa wanahamasisha punyeto.Ivi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shilika gani?
Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....
Hongera Mkuu kuwa msomaji na mfuatiliaji wa hivyo vipindiDJ Tee alikuwa noma sana, alikuwa na kipindi cha redio kiitwacho Shujaaz Radio Show kila Jumamosi kupitia East Africa Radio na TBC FM.
Pia Mimi na uzee wangu nilikuwa nasoma sana majarifa ya FEMINA HIP ambayo wajukuu walikuwa wanatoa nayo shuleni.
Watu walikuwa wananishangaa sana nilipokuwa nasoma story ambazo wao waliniita za kitoto π
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Grahams.
Namkumbuka Aunt cos, na amabilisiDJ Tee alikuwa noma sana, alikuwa na kipindi cha redio kiitwacho Shujaaz Radio Show kila Jumamosi kupitia East Africa Radio na TBC FM.
Pia Mimi na uzee wangu nilikuwa nasoma sana majarida ya FEMINA HIP ambayo wajukuu walikuwa wanatoa nayo shuleni.
Watu walikuwa wananishangaa sana nilipokuwa nasoma story ambazo wao waliniita za kitoto π
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Grahams.
Yeah, tena kipindi hicho kwenye jarida lao walikuwa wanaleta nyimbo zilizofanya vizuri kwenye top twenty ya EA Radio.Hongera Mkuu kuwa msomaji na mfuatiliaji wa hivyo vipindi
Nami kuna nyakati nimewahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya redio vya FEMA kupitia EA radio
Ilikuwa ni vipindi vizuri kwa akili ya vijana kujifunza
Kweli una kumbukumbu Mzee mwenzangu πYeah, tena kipindi hicho kwenye jarida lao walikuwa wanaleta nyimbo zilizofanya vizuri kwenye top twenty ya EA Radio.
FEMA ndiyo hiyo hiyo FEMINA.Namkumbuka Aunt cos, na amabilisi
FEMA imenifanya nikajua master sio dhambi π
Hv FEMA NA FEMINA ni kitu kimoja na ni mradi wa nn hasa
Sana Mzee mwenzangu πKweli una kumbukumbu Mzee mwenzangu π
Aisee nilikuwa msomaji wa vile vijistori vyenu bwana. Hongerani sana.Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.