Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

Ivi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shirika gani?

Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....
FEMINA iligeuka kuwa FEMA
 
kama mdau wa majarida hapa, kwa sasa majarida ya fema unayapata kwenye website yao pia majarida ya shujaaz yapo Issuu
 
Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...

Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.

Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Hata online hamna
 
Ivi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shirika gani?

Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....
1792001853379.png

1792002014101.png
 
Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...

Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.

Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Nilikuwa na Hardcopy zote za Femina kuanzia ile ya SWV - Sisters With Voice alikuwa kwenye Cover Fina Mango ,Lady Jay D na mmoja nimemsahau na nikawa na Jarida Hardcopy la Taji Liundi.
 
Si mchezo lilikufa?
 
Nilikuwa na Hardcopy zote za Femina kuanzia ile ya SWV - Sisters With Voice alikuwa kwenye Cover Fina Mango ,Lady Jay D na mmoja nimemsahau na nikawa na Jarida Hardcopy la Taji Liundi.
Daaa
Hzo hardcopy unazoo?
Umelenga nn mshenzi wewe kuziweka hapo?

Ngoja niwe mpole
 
Daaa
Hzo hardcopy unazoo?
Umelenga nn mshenzi wewe kuziweka hapo?

Ngoja niwe mpole
Hahahaa niliziacha mkoa mwingine na mimi nipo mkoa mwingine na sidhani kama zipo.,,,Nilikuwa nazo enzi hizo Hard Copy mwaka 2000 hadi 2009 ,sijui kama madogo wameziacha salama.
 
wapo kuna la 2016
hapa na ya zamani ya kila mdee na wasanii hapa.
ninachojua bado wapo.
ulimwengu wa net kuna mmoja amecomment na amesahau wanafunzi wengi sekondary ni boarding
 
Back
Top Bottom