Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

Kumbe we ni Mzee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sumbai leo ndo nimeona comment yako kwenye thread tofauti na kule kwenye ufalme wako wa je ulishawahi kula tunda kimasihara ? ๐Ÿ˜„
 
Sumbai leo ndo nimeona comment yako kwenye thread tofauti na kule kwenye ufalme wako wa je ulishawahi kula tunda kimasihara ? ๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nipo mkuu,
Kwingine naogopa kukoment si unajua watu wasiojulikana wamejaa kila sehem

Ndio maana naogopa saana
 

Kipindi kile ni noma mzee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 

Mkuu. Asa navipataje vijariida ivyo??
 

Hii imekaa poa sana
 
Mkuu unamfahamu dada Bahati?

Simfahamu personally zaidi ya kumsoma kwenye hayo majarida, na kumuona mara kadhaa kwenye tv. Alionekana ni mtu smart sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ