FEMINA iligeuka kuwa FEMAIvi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shirika gani?
Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....
Mkuu Ayatollah unaweza tengeneza soft copy ukipata muda!?Vipeperushi vya FEMINA hapa nyumbani ninavyo vya tangu mwaka 2010.
Nampata sana, tena sanaMkuu unamfahamu dada Bahati?
Simfahamu personally zaidi ya kumsoma kwenye hayo majarida, na kumuona mara kadhaa kwenye tv. Alionekana ni mtu smart sana!
Hata online hamnaMimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Ivi wale jammaa ambao walikua wanatoa vichapisho vya SHUJAAZ NA FEMINA. Wamepotelea wapi??
Maana waliibuka kwa kasi kipindi fulani iv ila wakapotea ghafla.. na vile vijarida vilikua vinatengenezwa na kusambazwa na shirika gani?
Yoyote anaejua kwa undani hii mada tafadhali anaweza akanieleza kwa undani....
Nilikuwa na Hardcopy zote za Femina kuanzia ile ya SWV - Sisters With Voice alikuwa kwenye Cover Fina Mango ,Lady Jay D na mmoja nimemsahau na nikawa na Jarida Hardcopy la Taji Liundi.Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Si mchezo lilikufa?Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
DaaaNilikuwa na Hardcopy zote za Femina kuanzia ile ya SWV - Sisters With Voice alikuwa kwenye Cover Fina Mango ,Lady Jay D na mmoja nimemsahau na nikawa na Jarida Hardcopy la Taji Liundi.
Hahahaa niliziacha mkoa mwingine na mimi nipo mkoa mwingine na sidhani kama zipo.,,,Nilikuwa nazo enzi hizo Hard Copy mwaka 2000 hadi 2009 ,sijui kama madogo wameziacha salama.Daaa
Hzo hardcopy unazoo?
Umelenga nn mshenzi wewe kuziweka hapo?
Ngoja niwe mpole
Ningekusanua jambo lakini wewe ni mmbeyaHahahaa niliziacha mkoa mwingine na mimi nipo mkoa mwingine na sidhani kama zipo.,,,Nilikuwa nazo enzi hizo Hard Copy mwaka 2000 hadi 2009 ,sijui kama madogo wameziacha salama.
Sanuka mkuu.Ningekusanua jambo lakini wewe ni mmbeya