Mwalimu: Leo kila mmoja wenu ataniambia kile ye hufanya akienda nyumbani
Mwanafunzi 1: Huenda kununua bangi kwa Yakobo
Mwanafunzi 2: Mi huendaga kununua sigara kwa Yakobo
Mwanafunzi 3: Yakobo anauza Cocaine hivyo mie huenda kwao kununua.
Mwanafunzi 4: Mi hutulia na kufanya mazoezi ya shule
Mwalimu: (kwa Mwanafunzi wa 4)Wewe ni mfano mzuri, hongera. Kuanzia leo wewe ndio kiranja wa darasa.Unaitwaje vile?
Mwanafunzi 4: Yakobo
Mwalimu: Shetani.