Yalaaaa, uwiiiiiiiiii, maweeeeeee, nchiiiiìiiii'

Yalaaaa, uwiiiiiiiiii, maweeeeeee, nchiiiiìiiii'

Samahan ndugu wana Jf Mods tuna kazi nyingi sana inabidi sometimes muwe mnajiendesha wenyewe tu over!
 
Huwa najiuliza maswali kadhaa:
Alipokuwa anaandika, alikuwa sehem gani na alikuwa anafanya nini??
Huyu, alitaka nani aisome?
Huyu, anategemea kuwa na mtoto au ana mtoto?
Mwanao/mkeo akiifuma hii kwenye mtandao, aweza kukuona baba au chizi??
Nisamehewe, nlikuwa nawaza tu
 
very stupid.take him back to facebook mods. amevuta bangi with his ass
 
Ukisikia hivyo tu jua kuku kaliwa nyoya, otea mtoa uzi amemalizia kufanya nini kati ya hivi?

Kula ugali
Kunyonya titi
Kupiga shooo ya kibabe
Kumgegeda mtu?

Mkuu waambie ndugu zako wakulete Korogwe faster kunahospital inaitwa Lutindi inasaidia sana watu wenyematatizo kama yako
 
Bila shaka humu yatakuja mijitu sasa pandikizi na mambo ya ajabu ili JF yetu ipatwe na hii sheria mpya
 
hili jukwaa la utan au udaku!.sasa mnashangaa nn? huo utan tu! cheka ongeza siku za kuishi
 
Kweli maisha yamekuwa magumu sana, mada ipo kwenye jukwaa la utani ila mapovu yanawatoka balaa.

Hii inadhihirisha ni jinsi gani watu wanatembea na magunia ya stress.....kama hii mada ililetwa moja kwa moja kwenye hili jukwaa la utani, basi mliotokwa na povu ni ............* Bravo! Bravo! Mleta mada
 
Back
Top Bottom