Yale majengo Zanzibar mmeshindwa hata kupaka rangi mnataka Urais

Kama kuna mistake alifanya CCM ni kurudisha familia ya Karume ikulu

Siongei kwa ubaya, mkuu alipopewa uraisi angeweka na kuongeza mazuri mzee aliofanya.

Jana naona mwingine anataka tena ikulu; aisee baba mwana na mwana tena, labda nisiwe Tanzania.

MMeshindwa kupaka hata rangi yale majengo mzee aliwajengea wananchi; kaka kashindwa, mnataka kufanya ikulu ya familia sio

WaLaahi CCM mkikosea Zanzibar watawapa wapinzani.

Mara mia tumpe ikulu mtoto wa Mwinyi naye aturekebishie hiko kisiwa sijui shida nini kwakweli.

Hussein Mwinyi kwanza.

Wengine baadae
Prof Mbarawa ndio anaye fuwata. Kwaheri
 
Kwa kumbukumbu yangu kuna majengo yalianzwa na KARUME (senior) yamekuja kumaliziwa na KARUME (Junior).
 
Back
Top Bottom