Yale matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu COVID-19 nchini yameishia wapi?

Mtazamo wako unaweza kuwa ni kweli!
 
Corona ipo lakini sio kwa kiwango kikubwa na hatarishi kama ilivyokuwa inadaiwa!
 
Tahadhari bado zinatolewa na ubalozi wa Marekani, nadhani walitoa moja wiki iliyopita na unaweza kuangalia hapa Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania

Hiyo ni habari mbaya sana kwa baadhi ya watu kuwa hizi alert zingalipo palepale.

Ni uzwazwa wa kutosha kuhusianisha hali ya ugonjwa na lolote liwe tamko au hata pongezi.

Ugonjwa? Aseme au asiseme nani au nini hali halisi kuhusu wenyewe iko palepale.

Mengine ni kujilisha upepo tu.
 
Leo mkenya lissu anazidi kuimba wimbo ule ule uliowachosha wamarekani. Nadhani ni muda mwafaka waandishi makini kumuuliza lissu kwenye ishu ya corona anasave interest za nani
Wasikiliza wimbo nadhani wanamuona kama anatoa burudani tu ili siku ipite!
 
Naona SA Leo wame lift ban ya kuuza pombe na sigara na kusema itachukua miaka kadha kufidia loss ya lock down
Pesa za mkopo kwa ajili ya kupambana na COVID-19 zimeanza kuisha! Lazima waondoe lockdown
 
Corona ipo lakini sio kwa kiwango kikubwa na hatarishi kama ilivyokuwa inadaiwa!
Inawezekana vp Kenya iwe inaoneka kuwepo corona ambayo hatarishi ila Tz kuwe shwari hakuna hatari ya corona? ni taratibu zipi tulizofanya hadi sie tusiwe na hatari ya corona kama Kenya? au Kenya ni kipi wanachofanya chenye kuwafanya wawe kwenye hatari ya corona?
 
Watakuja kutuomba msamaha karibuni wakidai kuwa yalikuwa ni auto print,ila kwa sasa wamesharekebisha hiyo shida...
 
Wewe unaleta siasa tu na ndio maana ule mkusanyiko wa watu pale Airport kumpokea Lissu et unausifia wakati umekuwa unapiga kelele kuhusu corona.
 
Hivi Zitto aliyekuwa akishabikia kinachoitwa uwepo wa wagonjwa wa Corona kwa maelfu hapa TZ je siku hizi anavaa barakoa?
Sio kuvaa barakoa tu bali hata kuongelea haongelei!
 
Covid-19 Brief: August 19, 2020

An increase in the number of Covid-19 tests across the UK, Oldham on the brink of lockdown, and an investigation into the UK government’s PPE contracts. Here are today’s latest figures and headlines, curated by upday.

The FiguresUK
Daily deaths: 28
Total deaths: 41,397
Daily cases: 812
Total cases: 321,098
Figures provided by Public Health England after they are released at around 4pm BST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…