jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mafua haya yalipaswa kuchikuliwa kawaida na approach yake iwe kama mafua mengine...ila kuna mtu aliipoteza duniaCorona imepaishwa sana, hususan huko Marekani.
Na sababu kuu ni uchaguzi wao mkuu wa mwezi Novemba mwaka huu...