Yalevisdalwear ft diamond

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kwa wale ambao wanapenda miziki ya slow aka rnb song Basi usiache kusikiliza this song na kijana wetu ameutendea haki wimbo ambayo ameshirikishwa na mkali mmoja kutoka ufaransa.
Mstari wa diamond
Upendo upimwi kwa maneno Wala,upimwa kwa matendo wacha waseme watalala hawawezi kuivunja pendo.
Upendo Ni kidonda na wewe ndio dawa yangu

Ngoma hii imetoka Jana inaitwa penzi diamond ameimba rnb humo.yaani huyu kijana kila aina ya miziki anaweza kufanya.
 
Soon vibamia vitakuja kutoa mijipov kwenye hii siredi,nakuja๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Soon vibamia vitakuja kutoa mijipov kwenye hii siredi,nakuja๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Sema team kiba jamiiforum wapo wachache sana labda wale ambao hawana team ndo watoe mapovu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ