Yalevisdalwear ft diamond

Yalevisdalwear ft diamond

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kwa wale ambao wanapenda miziki ya slow aka rnb song Basi usiache kusikiliza this song na kijana wetu ameutendea haki wimbo ambayo ameshirikishwa na mkali mmoja kutoka ufaransa.
Mstari wa diamond
Upendo upimwi kwa maneno Wala,upimwa kwa matendo wacha waseme watalala hawawezi kuivunja pendo.
Upendo Ni kidonda na wewe ndio dawa yangu

Ngoma hii imetoka Jana inaitwa penzi diamond ameimba rnb humo.yaani huyu kijana kila aina ya miziki anaweza kufanya.
 
Soon vibamia vitakuja kutoa mijipov kwenye hii siredi,nakuja🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Back
Top Bottom