Ikawaje sasa? handsome alikaa kiti kimoja na wewe? alitupia neno? au ilikua ni wewe tu ndie ulijigonga lakini jamaa wala hakua na mpango na wewe?Focus yangu ni kuwa presentable mbele ya handsome boy, ule utamu ninaukumbuka mpaka leo, bado ninajutia mihogo yangu.
Mie dah! hiyo mihogo tu ndio inaniuma roho, utasema ulikua umeninunulia mie vile.