Yalinikuta

Focus yangu ni kuwa presentable mbele ya handsome boy, ule utamu ninaukumbuka mpaka leo, bado ninajutia mihogo yangu.
Ikawaje sasa? handsome alikaa kiti kimoja na wewe? alitupia neno? au ilikua ni wewe tu ndie ulijigonga lakini jamaa wala hakua na mpango na wewe?

Mie dah! hiyo mihogo tu ndio inaniuma roho, utasema ulikua umeninunulia mie vile.
 
Mie nilishawahi kupenda mtu on the first sight hadi nikashindwa kula.... nilikuwa kwenye mgahawa nimeagizia chakula ile kimefika nanyanyua una na kisu akaingia mtasha mmoja..... sikuweza kula tena ...nililipa bili nikaondoka baada ya mtasha kuondoka
 
Afu mahandsome kipindi hicho unakuta hatuna habari coz si tunajitambua.
 
Ikawaje sasa? handsome alikaa kiti kimoja na wewe? alitupia neno? au ilikua ni wewe tu ndie ulijigonga lakini jamaa wala hakua na mpango na wewe?

Mie dah! hiyo mihogo tu ndio inaniuma roho, utasema ulikua umeninunulia mie vile.
Chemical changes zilianza pale alipoingia kwenye daladala, kibaya zaidi miaka hiyo simu za kumkononi ni luxury.
 
Do hata sijui yuko wapi kwakeli.
Kweli mapezi hisia. Unaweza kumpenda sana mwenzio lakini yy hana habari na ww.
Nakumbuka kipindi kile kuna msichana mmoja hivi, nilikuwa nampenda sana. Nikimuona tu akili zote zinahama, woga si woga yaani hata sytle kuongea unabadilisha inakuwa ile ya mahaba zaidi.
Huyu msichana sipo naye lkn nilimpenda sana. Ila huyu pia wa sasa nampenda sana kuliko maelezo yaani ndio kila kitu kwangu
 
Wala kaka wa watu hakujua kama niko mle, hisia zangu tu, pale ndio nilijua ninampenda.
si ulitaka akutongoze? uliwish akutongoze au akunotice
mimi kwenye daladala sipendi kabisa mazoea tena nikikaa tu naweka phone nainama kabisa mpaka nashuka full kujikausha
 
Hahahaha hiyo balaa, enzi nikikumbuka nabaki kucheka mwenyew, tunatoka mbali sana
 
Hata Me Mwenyewe Huu Ni Mwezi Wa Tatu Sili Wa Siogi Kisa Penzi La Beki 3.
 
hahahahahaha usichana bwana unakuaga na vituko sana[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…