Huyo kakimbia kabisa.
Nime-like pia
Ally Yanga kabeba nn jamani?
-Hii Yanga inaweza chapa hata Man U Old Trafford.
Hahahaaa yamekuwa hayo tena nyumbani ni nyumbani mcc watashinda tu
Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'
ghweee gwa kukhaja ghwee...MCC sio juu leo
Nimetafakari hii rekodi ya Canavaro, nikaona si vizuri kuuvumilia upotoshaji. Yaani duniani Nadir Haroub huyu huyu anashikilia rekodi ya kuwa beki mwenye mabao mengi zaidi duniani? Au ulimaanisha Canavaro wa Italia? Hebu pitia list hii ya mabeki tujiridhishe kama kweli Canavaro wa Zanzibar amefunga mabao zaidi ya 57 yaliyofungwa na Marco Materazzi au magoli 68 ya Tulio Tanaka wa Japan:Canavaro bado anazidi kujiwekea record ya pekee duniani. Ni beki pekee mwenye magoli mengi ya kufunga
Mama weeeee! Matola njoo uone maajabu huku!
Kweli wanaume wameisha jamani!