Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Huwezi jua inaweza ikatokea gari yenu ikapata tetra puncture, sasa hizo tetra hata kama mkiwa na spare tairi nne hadi mmalize kubadilisha tushafika hata tusipopita lakini tunaweza kwenda sambamba. Hebu kuwa fair kidogo utupongeze kutoka nafasi ya kumi hadi sasa tuko ya tatu na makombe mawili juu pamoja na milioni zaidi ya 90.
Aaah wapi bwana achana na hizo ndoto za mchana tena unaotea chooni kabisaa!
Na tusipopata pancha je? Kwa kujitahidi mmejitahidi sawa ila jitihada zenu hazina maana kama mtashindwa kushiriki mashindano ya kimataifa msimu wa 3 sasa.
Wewe baki ukijisifia na vikombe vyako vya mchangani wanaume wanasubiri kuwasulubisha waarabu tusonge mbele.