Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Huwezi jua inaweza ikatokea gari yenu ikapata tetra puncture, sasa hizo tetra hata kama mkiwa na spare tairi nne hadi mmalize kubadilisha tushafika hata tusipopita lakini tunaweza kwenda sambamba. Hebu kuwa fair kidogo utupongeze kutoka nafasi ya kumi hadi sasa tuko ya tatu na makombe mawili juu pamoja na milioni zaidi ya 90.

Aaah wapi bwana achana na hizo ndoto za mchana tena unaotea chooni kabisaa!
Na tusipopata pancha je? Kwa kujitahidi mmejitahidi sawa ila jitihada zenu hazina maana kama mtashindwa kushiriki mashindano ya kimataifa msimu wa 3 sasa.
Wewe baki ukijisifia na vikombe vyako vya mchangani wanaume wanasubiri kuwasulubisha waarabu tusonge mbele.
 
leo nampa pongezi kipa wa mbeya city kwa kuokoa michomo ya karibu,... pia pongezi zimwendee kocha wa mbeya city kwa kuwaelekeza wachezaji wake kutega mitego ya kuotea, hii imewasaidia kupunguza idadi ya magoli kutoka 12 hadi 3. hongereni sana.
 
Aaah wapi bwana achana na hizo ndoto za mchana tena unaotea chooni kabisaa!
Na tusipopata pancha je? Kwa kujitahidi mmejitahidi sawa ila jitihada zenu hazina maana kama mtashindwa kushiriki mashindano ya kimataifa msimu wa 3 sasa.
Wewe baki ukijisifia na vikombe vyako vya mchangani wanaume wanasubiri kuwasulubisha waarabu tusonge mbele.

Eti vikombe vya mchangani na hela nazo ni za mchangani?

Waarabu mkiwatoa sio kuwafunga hapa kwetu, namaanisha kuwatoa mashindanoni kabisa, bili yako ya bundle kw ajili ya JF mwezi mzima itakuwa juu yangu ila nitakuwa na monitor matumizi yako.

Shahidi 1: Butola: Huyu tunafahamiana anajua pa kunipata.

Shahidi 2: ACCOUNT FULL na Bantu lady; Kutoka Ndala FC.

Shahidi 3: Katavi na Apologise lady; Kutoka Unyama Unyamani.

Makoye Matale unaonekana ni mwanasheria, unaweza kuweka vizuri huu mkataba.
 
Last edited by a moderator:

Aisee! Hizi ndizo bahati ninazolilia kila siku.Thanks in advance maana najua nitaipata tu.Yaani umenizidishia presha ya game maana nitakua siwazii ushindi peke yake...lol
Ila hebu niweke vizuri hapo kwenye ku monitor matumizi yangu sijaelewa vizuri hivi?
 
Hiyo bundle ni kwa ajili ya kuperuzi habari za JF tu, kama utaitumia kufungua you tube na kwingine utakuwa umevunja mkataba.
 
Khaaaaa!Hayo sio mambo kabisa.Utatoaje offer halafu umpangie mtu matumizi? Kwa hiyo niwe ninahangaika kujiunga vifurushi vingine ili niperuzi kwingine?No...lets cancel the contract.
 
Eti vikombe vya mchangani na hela nazo ni za mchangani?

Waarabu mkiwatoa sio kuwafunga hapa kwetu, namaanisha kuwatoa mashindanoni kabisa, bili yako ya bundle kw ajili ya JF mwezi mzima itakuwa juu yangu ila nitakuwa na monitor matumizi yako.

Shahidi 1: Butola: Huyu tunafahamiana anajua pa kunipata.

Shahidi 2: ACCOUNT FULL na Bantu lady; Kutoka Ndala FC.

Shahidi 3: Katavi na Apologise lady; Kutoka Unyama Unyamani.

Makoye Matale unaonekana ni mwanasheria, unaweza kuweka vizuri huu mkataba.

Wakifanikisha hilo, naonga dau.
Nampeleka shopping nifah kwa gharama ya US$150

cc Makoye Matale, Zamaulidi
 
Last edited by a moderator:
Wewe baki ukijisifia na vikombe vyako vya mchangani wanaume wanasubiri kuwasulubisha waarabu tusonge mbele.

Haijawahi kutokea

attachment.php
 
Eti vikombe vya mchangani na hela nazo ni za mchangani?

Waarabu mkiwatoa sio kuwafunga hapa kwetu, namaanisha kuwatoa mashindanoni kabisa, bili yako ya bundle kw ajili ya JF mwezi mzima itakuwa juu yangu ila nitakuwa na monitor matumizi yako.

Shahidi 1: Butola: Huyu tunafahamiana anajua pa kunipata.

Shahidi 2: ACCOUNT FULL na Bantu lady; Kutoka Ndala FC.

Shahidi 3: Katavi na Apologise lady; Kutoka Unyama Unyamani.

Makoye Matale unaonekana ni mwanasheria, unaweza kuweka vizuri huu mkataba.

Nikiwa kama shahidi hee sisi lazima tuwatoe hao waarabu. Kwahiyo nifah zawadi utaipata tu mamii.
Masuke mmeona mambo yetu Yanga? Mlichonga sana, sasa mikia kama si wote mmekimbia jukwaa na badoooooo...
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama shahidi hee sisi lazima tuwatoe hao waarabu. Kwahiyo nifah zawadi utaipata tu mamii.
Masuke mmeona mambo yetu Yanga? Mlichonga sana, sasa mikia kama si wote mmekimbia jukwaa na badoooooo...

Zawadi yenyewe Masuke anazingua ananipa masharti eti natakiwa kuperuzi JF tu!
Mikia roho zinawauma sana.
 
Last edited by a moderator:
Aaah wapi bwana achana na hizo ndoto za mchana tena unaotea chooni kabisaa!
Na tusipopata pancha je? Kwa kujitahidi mmejitahidi sawa ila jitihada zenu hazina maana kama mtashindwa kushiriki mashindano ya kimataifa msimu wa 3 sasa.
Wewe baki ukijisifia na vikombe vyako vya mchangani wanaume wanasubiri kuwasulubisha waarabu tusonge mbele.

mmmh mwenzio nina wasiwasi hapo ujue nifah
 
Sijui kwanini sina wasiwasi kabisa mito. Ujue ile game yetu dhidi ya Al Ahly nilikua taifa halafu nilikua na hofu baada ya kusikia masifa waliyokua wanapewa mitaani na kwenye social networks.
Ila nilichokiona uwanjani ni tofauti kabisa na yale maneno ndio maana najiamini.
Ujue hata ile game ya Zamalek tuliipoteza kwa hofu tu lakini jamaa tuliwashika vizuri tu hadi walivyokuja kusawazisha mwishoni.
 
Ndio yanga ni wazuri, wanatia matumaini kwa kweli, ila ndo hivo lo lote linaweza kutokea nifah, ila kama ulivyosema hapo juu tuzidi kuiombea dua yanga
 
Back
Top Bottom