Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Sisi Mikia Fc huwa tunakomaa na Mechi na Yanga, Mtani Jembe na Mapinduzi Cup kidoooogo.
Atuna jipya
Kuna haja ya Yanga kujitoa Mapinduzi Cup na Mtani Jembe ili tuwe na furaha na ubingwa wetu wa VPL. Nafurahia ubingwa lakini kila nikiifikiria Simba, nakumbuka 5-0
 
Kwanza umenibani mpaka mpira umeisha mwenzio nilijisahau.

Akyanani wacha nikanunuwe KY kabisa huyu mtoto ana wadudu wanamnyevu, hakuna mwanaume rijali anayeweza kubet kutoa kijambio.

Hahahaaa, dah yaani leo huyu jamaa DAKA MTUMBA kaja na mpya aisee!
 
Last edited by a moderator:
nifah kwa hiki kiwango cha yanga hata ningekuwa mimi mikia ningekimbia jukwaa
Unajua tuache utani yanga inacheza mpira wa kuvutia sana, sijui vijana wamelisha nini waleeee!!

Vijana wapo vizuri. Huoni akina sembo na Freeland wamekimbia jukwaa?
 
Last edited by a moderator:
Kwahyo Mbeya City na leo wameuzwa na keeper????
 
Hii timu inanipa raha!
Thanks Stand Utd!! Umeniondoa kwenye stress za timu kongwe..
 
Hata wasipowasifu miti itapiga kelele!!
Yes! Yes! Yes! Chama la Wana!!
Pamoja sana.
 

Attachments

  • 1428851824421.jpg
    24.6 KB · Views: 220
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,nyie mmeshakata tamaa bwana.Hadi mwakani si mambo mengine?

Huwezi jua inaweza ikatokea gari yenu ikapata tetra puncture, sasa hizo tetra hata kama mkiwa na spare tairi nne hadi mmalize kubadilisha tushafika hata tusipopita lakini tunaweza kwenda sambamba. Hebu kuwa fair kidogo utupongeze kutoka nafasi ya kumi hadi sasa tuko ya tatu na makombe mawili juu pamoja na milioni zaidi ya 90.
 
Yanga Africans, Daima mbele nyuma mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…