WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wakora bhuyaaa thatha.Hamna jinsi mkuu.
Nina imani na mbeya city
Nina imani na mbeya city
Leo ni leo.
Wale jamaa wataalamu wa kupiga mtu kwa kufata tar huku wafungaji wao wakitupia kwa kufuata mwezi watakua taifa jioni ya leo kupambana na wagonga nyundo wa nyanda za juu kudini(MCC)
Tuwe pamoja bila kukosa.
kuhusu viwanja vingine matakoe wekeni hapa pia.
Mwenye ratiba ya viwanja vingine aiweke hapa pia!!!
Leo nipo njia panda. Huku Yanga, huku vijana wa nyumbani. Baada ya kuweka kwenye mizani, Yanga lazima ashinde.
heee!!...tambwe tena yupo ,sasa si wajisalimishe mapema ili yasiwakute ya waliowatangulia
Hahahaaa,safi sana.YANGA MBELE WENGINE WANAFUATA!
Mikia utawatambua tu kwa miandiko yao mibaya.
Wanaandika utazan wanaendesha pikipiki
Mwamuzi kalikataa duh wanabahati kweli
Ukiendesha pikipiki unaandikaje mkuu?
Nani alikuwa mfungaji mkuu pamoja na kukataliwa?