Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Leo ni leo.
Wale jamaa wataalamu wa kupiga mtu kwa kufata tar huku wafungaji wao wakitupia kwa kufuata mwezi watakua taifa jioni ya leo kupambana na wagonga nyundo wa nyanda za juu kudini(MCC)
Tuwe pamoja bila kukosa.
kuhusu viwanja vingine matakoe wekeni hapa pia.
Mwenye ratiba ya viwanja vingine aiweke hapa pia!!!

Kumbe hukua unabahatisha eeh? Haya na tuombe kheri tuweze kuwakalisha hao vijana wa green city na kuzidi kujikita kileleni.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
 
Back
Top Bottom