Siwalaumu Coastal wala Mbeya city ila wamekutana na bahati mbaya kwani Yanga wapo kwenye mazoezi ya kufunga magoli mengi kwa ajili ya mashindano ya kimataifa. Ndiyo maana muda wote Yanga wanashambulia
Ahahahahaaaa.
Jamani,hivi hao waarabu ninao waona hapo jukwaani si wale wa Etoile Du Sahel kweli?
Mmekwishaaaaaaaaa!
Wanasubiri na Ngasa aingie ili wafunge vitabu vyao.