Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

awamu hii sijui watamsimamisha nani, baada ya hapo mwanzo kumsimamisha kipa waao aliyetungulliwa 3 nyumbani kwao
 
Siwalaumu Coastal wala Mbeya city ila wamekutana na bahati mbaya kwani Yanga wapo kwenye mazoezi ya kufunga magoli mengi kwa ajili ya mashindano ya kimataifa. Ndiyo maana muda wote Yanga wanashambulia
 
Ahahahahaaaa.
Jamani,hivi hao waarabu ninao waona hapo jukwaani si wale wa Etoile Du Sahel kweli?
Mmekwishaaaaaaaaa!
Wanasubiri na Ngasa aingie ili wafunge vitabu vyao.
 
Makoye Matale, Ndetchia, Masuke, Watu8 na wengine maarufu wa jukwaa hili mko wapi leo ?
 
Back
Top Bottom