DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'
ilikuwa faulo mkuu kapiga mpirja ukaenda moja kwa moja golini
Manji anatuharibia mpira wetu.
Sijui TFF wapo wapi,yani watu wanahonga mchana kweupe,ile card ya kiuonevu kabisaaaaaa!
Haya njoo ubanduliwe huku!
Haya njoo ubanduliwe huku!
Mmmh! Kumbe Tanzania kuna watu wanashikilia rekodi za dunia!Canavaro bado anazidi kujiwekea record ya pekee duniani. Ni beki pekee mwenye magoli mengi ya kufunga