Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Manji anatuharibia mpira wetu.
Sijui TFF wapo wapi,yani watu wanahonga mchana kweupe,ile card ya kiuonevu kabisaaaaaa!
 
Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'

Haya njoo ubanduliwe huku!
 
Yanga chapa Wasafwa hao warudi Mbeya kulima njegere na ndofan'ya
 
Manji anatuharibia mpira wetu.
Sijui TFF wapo wapi,yani watu wanahonga mchana kweupe,ile card ya kiuonevu kabisaaaaaa!

Kwa nini na nyie msihonge kama unadhani mambo ni marahisi tu hivyo?
 
Jeuri yote itaisha siku mtakayokutana na waarabu
 
Yanga kueni na huruma khaaa!
Yani mnataka kumuingiza Ngasa?
Hi sasa sifa.
 
Manji anatuharibia mpira wetu.
Sijui TFF wapo wapi,yani watu wanahonga mchana kweupe,ile card ya kiuonevu kabisaaaaaa!

kafie mbali Huna lolote..vip kuhusu ile red cad ya stand utd plus dakika 105 Za kupewa ili muihujum stand utd lakin mkaishia kuchomekwa kidude
 
Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'

Unapatikana wapi?nimeshakunywa mizinga miwili ya nyagi.
 
Back
Top Bottom