Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'

Mama weeeee! Matola njoo uone maajabu huku!
Kweli wanaume wameisha jamani!
 
Last edited by a moderator:
Hawa waarabu etoil du Sahel wapo uwanjani hapa wanashangaa moto wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…