Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
itabidi kufungua forum ya learner, au kuwe na mandatory training kabla ya ku-submit registration.
Hayo ndiyo yaliyomkuta rafiki yako eeh?...Aliponea chupuchupu sana du!!!!...Aliripoti polisi ishu hii?