shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
- Thread starter
-
- #41
Asante sana.ashidwe kbsa.nimeblock kabisaNa labda Mungu kakuepusha pia na jambo baya ambalo ungelipata kupitia huyo binti.. inabidi umkimbie kabisaaaa na namba yake uifute.
Pole
Apana .utanicheka mnoAhahaha WEKA PICHA MKUU
Sipo uko nduguKama hauko madhehebu ya manabii wale poa
Utanicheka sana Mkuu.apanaAhahaha WEKA PICHA MKUU
Umeepyshwa ukimwi mkuu ...mungu ana njia nyingi za kuokoa watu wake, baadhi huwa za maumivu kidogo kama hivyo.Nimekoma kwa kweli shetani huwa ana mbinu nyingi sana za kutulaghai
Kweli Mkuu.nimepata fundisho kubwa Leo.asante sanaHahahahahaaaa Pole, Siku Nyingine Jizuie Na Ukimbie Vishawishi Kama Yusufu Alivyokimbia Mke Wa Potifa Alipomshawishi Afanye Nae Uasherati
Kweli Mkuu.nimepata fundisho kubwa Leo.asante sanaHahahahahaaaa Pole, Siku Nyingine Jizuie Na Ukimbie Vishawishi Kama Yusufu Alivyokimbia Mke Wa Potifa Alipomshawishi Afanye Nae Uasherati
Amen .itakua hivyo mkuuUmeepyshwa ukimwi mkuu ...mungu ana njia nyingi za kuokoa watu wake, baadhi huwa za maumivu kidogo kama hivyo.
Furahia ukombozi huo
Nimecheka hadi basi [emoji35].Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au ananitania maana nilishamjaribu kama Mara moja akazingua basi nikala hamsini zangu.nikamuendea hewani nikacomfirm yupo serious.shetani ana mbinu,
sikukumbuka tena ibada
.nikajiandaa kwenda tulipopanga.wakati natoka ghafla nyuki wakanivamia kumbe walikua kuna mti wanahamia sasa na harufu ile ya perfume sujui waliniona Mimi maua.walinivamia wengi .nikaona sasa wataniua washenzi hawa.nikajirusha kwenye dibwi la maji machafu ya mvua ,kila nikanyanyua kichwa wapo juu wananikwidaa sijui walitumwa.ikabidi nitoke mbio kukimbia nisipojua.mpaka sasa nimevimba uso jicho linaona kwa shida .Shetani kaniponza .Maturu mwili mzima.mpaka najiuliza hivi yona alivyomezwa na Samaki aliumia kama Mimi?yule binti badae kumtafuta kumwambia aniletee dawa za maumivu ,kaniandikia"nyoo si ungesema Una hela ya kutoka pamoja,ovyoo".maumivu Mara mbili.hawa mabinti hawa.ningekwenda ibada yote yasingenikuta.sasa nimejifungia ndani na ugulia maumivu.Jioni njema
Dah.Mkuu maumivu haya tu Niko hivi.wangegusa uko nahisi ningezimiaUmechanganya changanya hiyo story na kauongo kidogo .Ila umeeleweka .lakini ilibidi wakuume na dushe lako ndiyo ujue uchungu wa radha ya ulichoepushwa nacho.leo
Shetani Mkuu.anatuwinda 24hrsHahahaaa...... Mungh kwanza aisee, papuchi zipo tu
Mithi yu jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukome kuacha kanisa
Umejua kunisusa jiraniMithi yu jirani
Nimekosa jiraniUmejua kunisusa jirani
Asante kwa kukubaliNimekosa jirani