Yalionikuta leo ni zaidi ya Yona alivyo mezwa na samaki

Yalionikuta leo ni zaidi ya Yona alivyo mezwa na samaki

Hahahahahaaaa Pole, Siku Nyingine Jizuie Na Ukimbie Vishawishi Kama Yusufu Alivyokimbia Mke Wa Potifa Alipomshawishi Afanye Nae Uasherati
 
Nimekoma kwa kweli shetani huwa ana mbinu nyingi sana za kutulaghai
Umeepyshwa ukimwi mkuu ...mungu ana njia nyingi za kuokoa watu wake, baadhi huwa za maumivu kidogo kama hivyo.

Furahia ukombozi huo
 
Umechanganya changanya hiyo story na kauongo kidogo .Ila umeeleweka .lakini ilibidi wakuume na dushe lako ndiyo ujue uchungu wa radha ya ulichoepushwa nacho.leo
 
Hahahahahaaaa Pole, Siku Nyingine Jizuie Na Ukimbie Vishawishi Kama Yusufu Alivyokimbia Mke Wa Potifa Alipomshawishi Afanye Nae Uasherati
Kweli Mkuu.nimepata fundisho kubwa Leo.asante sana
 
Hahahahahaaaa Pole, Siku Nyingine Jizuie Na Ukimbie Vishawishi Kama Yusufu Alivyokimbia Mke Wa Potifa Alipomshawishi Afanye Nae Uasherati
Kweli Mkuu.nimepata fundisho kubwa Leo.asante sana
 
Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au ananitania maana nilishamjaribu kama Mara moja akazingua basi nikala hamsini zangu.nikamuendea hewani nikacomfirm yupo serious.shetani ana mbinu,
sikukumbuka tena ibada
.nikajiandaa kwenda tulipopanga.wakati natoka ghafla nyuki wakanivamia kumbe walikua kuna mti wanahamia sasa na harufu ile ya perfume sujui waliniona Mimi maua.walinivamia wengi .nikaona sasa wataniua washenzi hawa.nikajirusha kwenye dibwi la maji machafu ya mvua ,kila nikanyanyua kichwa wapo juu wananikwidaa sijui walitumwa.ikabidi nitoke mbio kukimbia nisipojua.mpaka sasa nimevimba uso jicho linaona kwa shida .Shetani kaniponza .Maturu mwili mzima.mpaka najiuliza hivi yona alivyomezwa na Samaki aliumia kama Mimi?yule binti badae kumtafuta kumwambia aniletee dawa za maumivu ,kaniandikia"nyoo si ungesema Una hela ya kutoka pamoja,ovyoo".maumivu Mara mbili.hawa mabinti hawa.ningekwenda ibada yote yasingenikuta.sasa nimejifungia ndani na ugulia maumivu.Jioni njema
Nimecheka hadi basi [emoji35].
 
Umechanganya changanya hiyo story na kauongo kidogo .Ila umeeleweka .lakini ilibidi wakuume na dushe lako ndiyo ujue uchungu wa radha ya ulichoepushwa nacho.leo
Dah.Mkuu maumivu haya tu Niko hivi.wangegusa uko nahisi ningezimia
 
Back
Top Bottom