A Algore JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,363 Reaction score 3,795 Oct 6, 2023 #42 baba aura said: Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali. Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium. Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa. Click to expand... Kweli kabisa. Yaliyotokea kwa yanga, yametokea pia kwa simba
baba aura said: Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali. Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium. Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa. Click to expand... Kweli kabisa. Yaliyotokea kwa yanga, yametokea pia kwa simba
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Oct 6, 2023 #43 KICHWA KUWA NA AKILI MBOVU KIASI HICHO NI MZIGO MKUBWA SANA KWA MWILI.....
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 Oct 6, 2023 #44 Mshana Jr said: Utabiri ulishapita jana na kukamilika. Hizi tabiri nyingine ni mbambamba tuu [emoji23]View attachment 2772340 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Aisee hapo unamtapisha ama kumkamua.
Mshana Jr said: Utabiri ulishapita jana na kukamilika. Hizi tabiri nyingine ni mbambamba tuu [emoji23]View attachment 2772340 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Aisee hapo unamtapisha ama kumkamua.
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Oct 6, 2023 #45 baba aura said: Sawa mkuu ata ukinitumia kiasi gani ilimradi utimize ahadi yako tu Click to expand... Imekupita hiyo hela kaka
baba aura said: Sawa mkuu ata ukinitumia kiasi gani ilimradi utimize ahadi yako tu Click to expand... Imekupita hiyo hela kaka