Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa. Yaliyotokea kwa yanga, yametokea pia kwa simbaWakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali.
Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium.
Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa.
Aisee hapo unamtapisha ama kumkamua.Utabiri ulishapita jana na kukamilika. Hizi tabiri nyingine ni mbambamba tuu [emoji23]View attachment 2772340
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekupita hiyo hela kakaSawa mkuu ata ukinitumia kiasi gani ilimradi utimize ahadi yako tu