Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Roho mbaya,. Uchawi Na ushehe yahya wa mchongoWakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Kwani Yanga kumetokea Nini? Mbona hujasema?Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Mashabiki wa Yanga maandazi tuwaachie Simba! Tukubali kwamba tumepigwa na liwe fundisho kwetu! Prisons hata wafanyeje menzetu yanampiga na yanakwea kileleni kwa tofauti ya point 3!Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Jamaa anataka kuleta ushabiki wa kipumbavu!Yani Wana yanga.ubakwe wewe unataka kulazimisha na mwenzako abakwe.
Kweli nimeamini bila simba yanga muwezi kuishi.
Simba si anacheza pira papatu? Hata akifungwa poa tu ila nyie soka madrid sasaWakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Utabiri ulishapita jana na kukamilika. Hizi tabiri nyingine ni mbambamba tuu [emoji23]Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
[emoji23]Yani Wana yanga.ubakwe wewe unataka kulazimisha na mwenzako abakwe.
Kweli nimeamini bila simba yanga muwezi kuishi.
Usingizi wa Jangwani
Team inayocheza hovyo haiwezi kufugwa easy wao wanachojali pira golini hakuna MengineWakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Bahasha tayari!Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali
Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium
Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Hawapati hata mia[emoji23]Bahasha tayari! View attachment 2772363
Hili jamaa na tumbo lake natamani lingekufa kabisa!
😂😂😂😂😂
RubbishBahasha tayari! View attachment 2772363