Wana jamvi hbr zenu...
Nianze kwa kujivunia kuwa Tanzania ni nchi yangu na ninafurahia hilo.. but yapo mambo machache ambayo kwangu yalinistaajabisha sana na kunishangaza kwa mwaka huu 2017..
la kwanza ni la msanii mmoja ktk moja ya versi zake anasema "lete defender, lete wajeda, leta wagambo, nimejitoa sadaka, mkitaka kuniua nichinjeni mkanitupie daraja la..."
huyu msanii baadaye alibebwa kwenye Noah tu ... badala ya defender, wagambo na wajeda...
daa kila nikifika kwenye hiyo versi huwa na amaizing sana...
Tupia na wewe kile kilichokushangaza 2017 baada ya kukick..