Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Kwanza napenda kuuliza swali.
Je kuna Mtanzania yeyote aliyekuwa anaamini Simba SC itafuzu kwenye Michuano hii?
Kama yupo basi ni wale wasioupenda Uhalisia Wa Maisha. Yaani SSC iitoe Tout Puissant!!!
Kwa hesabu za uhalisia haiwezekani, ni ukichaa kuwaza hivyo
1. Kikosi cha Tout Puissant( Nguvu Kama Zote) kina gharimu zaidi ya Bil 20, wakati kikosi cha SSC kina gharimu chini ya Bil 2.5
2. Tout Puissant ina nyota Tano, SSC haina nyota hata moja.
3. Almost every year Tout Puissant anashiriki michuano hii, how long does it take SSC kushiriki michuano hii?
Kocha wa Tout Puissant alisema wazi siku ile pale Taifa, wao wamekuja kuifundisha SSC mpira, kwamba Simba ipo kwenye kujifunza pamoja na tuhuma za kuhonga wapija filimbi. Alisisitiza kwamba kiwango cha SSC bado ni kidogo na mwisho wao utakuwa ni Lumumbashi, alilisema hili kwa yakini kabisa.
Ukitembea Social Media za Timu kubwa zote ikiwemo Al ahly, hukuti mambo ya Inshallah, sijui Mungu tusaidie kwa sababu haya mambo hayana athari yoyote Kwenye uhalisia wa Soka.
Simba ni kikosi dhaifu sana mbele ya timu kama Tout Puissant, ni kikosi ambacho hakina Investment.
Kocha wa Yanga, Ndugu Mwinyi alisema kwa hakika SSC kuitoa Mazembe pale Congo ni Treblement De Terre, akiwa na maana Tetemeko la Ardhi. He was very Honesty, white and black.
Lakini Wanasimba wasioupenda ukweli mchungu walimshambulia na kuzidisha maneno kama Inshallah, Kwa jina La mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema sijui nini na nini ...
. Nani kasema haya mambo yanaleta athari Kwenye uhalisia? Ni Mambo ya ajabu ajabu sana badala yake mnasahau investment walizofanya watu ili wapate matokeo waliyopata leo.
Pamoja na yote kwa kiwango cha Simba imejitahidi kufika ilipofia, mwanzo wake ni mzuri na ni sehemu nzuri kwa kuanza safari ya Matumaini ikiwa ni pamoja na kupunguza Inshallah zote badala yake kufanya Investment na kuacha soka la mitandao linaloendeshwa na ndugu Haji Sunday Manara.
Muhammad Dewji ni wakati wake sasa wa kuunda kikosi chenye Tija ambacho kitakuwa na uwezo wa kuleta matokeo sehemu yoyote. Kikosi ambacho kitaundwa na wachezaji makini wa kimataifa huku wakishirikiana na wachezaji bora wa ndani.
Hakuna uchawi Kwenye mpira ni Investment tu . Waweke nidhamu kwa wachezaji kwa kuingia mikataba migumu ikiwa ni pamoja na kuwakata mishahara yao kama timu haifikii lengo.
Aidha, Kwenye usajili, SSC iachane na madadali wa kipuuzi, wafanye utafiti wa kutosha juu ya mchezaji wanaetaka kumchukua hasa wa kimataifa.
Mpira ni pesa, sio Inshallah na kelele za mitandaoni sijui eti kujaza uwanja, my foot!
Tumeona uwanja wa Tout Puisant unaingiza watu 18K tu na wameleta Tremblement de Terre.
————————
Jumamosi 13, Aprili 2019.