Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Napenda kuchukua fulsa hii kuwaomba radhi wapenzi wote wa Timu ya mpira wa miguu wa Yanga.
Kwa kosa kubwa lililofanywa na Timu ya mpira wa miguu ya Simba.
Kwa kitendo cha kufika hatua ya Robo Fainali ya Club Bingwa Africa.
Hakika kama Simba ingelijua hapo awali kuwa kitendo hicho kingeliwaudhi namna hii wapenzi wa Yanga,
Isingethubutu kushiriki hayo mashindano ya mpira had hatua hiyo.
Hata hizo pesa ambazo Simba watapewa baada ya kufikia hiyo hatua,
Simba itazichukua kwa shingo upande tu, kwakuwa tu CAF wanalazimisha kuzichukua, la sivyo, Simba wangelizisusia.
WANGELIZISUSIA.
Sent using Jamii Forums mobile app