Yaliyo Mbele na Nyuma ya Simba SC -Last Part

Napenda kuchukua fulsa hii kuwaomba radhi wapenzi wote wa Timu ya mpira wa miguu wa Yanga.
Kwa kosa kubwa lililofanywa na Timu ya mpira wa miguu ya Simba.
Kwa kitendo cha kufika hatua ya Robo Fainali ya Club Bingwa Africa.
Hakika kama Simba ingelijua hapo awali kuwa kitendo hicho kingeliwaudhi namna hii wapenzi wa Yanga,
Isingethubutu kushiriki hayo mashindano ya mpira had hatua hiyo.
Hata hizo pesa ambazo Simba watapewa baada ya kufikia hiyo hatua,
Simba itazichukua kwa shingo upande tu, kwakuwa tu CAF wanalazimisha kuzichukua, la sivyo, Simba wangelizisusia.
WANGELIZISUSIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

namba 3. Al Ahly imetolewa kimpira, Simba hailkutolewa kimpira but rather, because it doesn't deserve! What do you mean? Is there any criteria to deserve apart from meeting the set criteria? How has thus the club ranking of Tanzania has reached 18, allowing for 4 teams to participate in 2020/21 CAF tournaments?

Unashauri eti Simba ifanye investment .......what are you advising the other more than 10 soccer clubs in the TPL? preferably start with the "historical champions" then AZAM or vice-versa.
 

Mimi sijui English, kindly niandikie Kiswahili.

Ahsante.
 

Hujaelewa Mada .
 
Kama kuna MTU hajamuelewa mleta Uzi, basi Huyo ni kichwa maji. Wachezaji wa Simba wa sasa siyo wa kiwango cha michuano husika.
 
Last para, Same advise should go for all clubs in TPL especially those participating in international tournament.
 
Ajabu; utasikia wanamtaka Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael. Hivi hapo watani zangu mnataka kusonga mbelee au ndiyo mnarudi nyuma (mna- reverse). Hakika huu ushauri ukizingatiwa na kufanyiwa kazi mtatoboa, ila kwa usajili huu wa kukomoana mtani wenu, tens akiwa ktk hali mbaya kiuchumi, mkisikia kaongea na mchezaji flank faster mnamsajili hata bila matakwa ya bench I LA ufundi, hakika HAMTOBOI.
 
umeongea point
 
kwani investiment ya as vita ni kiasi gani kulinganisha na Simba na bado waliondolewa nyie sasa hivi mnachangishana na bakuli kupata bilioni moja na nusu ili mshindane na timu gani tuachieni simba yetu kila mtu ashinde mechi zake
 
Naomba kujua thamani ya kikosi cha mbao.

not but pray.
 
Kama kuna MTU hajamuelewa mleta Uzi, basi Huyo ni kichwa maji. Wachezaji wa Simba wa sasa siyo wa kiwango cha michuano husika.
Mkuu yaani kuna ushabiki wa ajabu kweli nchini kwetu yaani watu hawataki kuambiwa ukweli ama ushauri tu zaidi wanataka wasifiwe tu ! Mambo yako wazi soka letu bado sana wenzetu wamepiga hatua kila idara, sisi tunajisifu kujaza uwanja hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani investiment ya as vita ni kiasi gani kulinganisha na Simba na bado waliondolewa nyie sasa hivi mnachangishana na bakuli kupata bilioni moja na nusu ili mshindane na timu gani tuachieni simba yetu kila mtu ashinde mechi zake
Mikia mna investment gani? ? Hivi MO ameshadeposit 20B?? ? Hela inatoka mfukoni kwa MO ndio maana anataka hati ya Jango la klabu akakope Malaysia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…