Yaliyo Nyuma na Mbele ya Simba Sports Club

Yaliyo Nyuma na Mbele ya Simba Sports Club

Kuna watu wanajfanya wanajua sana Mpira na analysis zao za kiboya mnatakiwa mjue kwamba kila game au mashindano yana plani yake..Kwa mfano. Kwenye makundi ilikua wazi kwamba game plan ya simba ilikua ni kushinda game za nyumbani zote,kitu ilichofanikiwa Kwa asilimia mia...sasa MTU unavyoleta analysis zako za kiuwendawazima watu tunaiushangaa,hivi kwenye tathmini zenu mbona amsemi tulivyowafunga Mbabane swallows gori NNE bila nyumbani kwao!?Mpira unamahesabu yake sio kuruka ruka tu..nabhaya mambo ya kutafuta sifa na mwenda kichwa kichwa ndo yanaua soka LA bongo..simba uko imara na uko determined kupata matokeo na kusonga mbele!!
 
Dua la wenye husda halimpati Mnyama MRIE TU!

Kumekucha.

Kwenye droo ya jana,tumeona Simba itakavyopambana na Tout Puissant Mazembe.

Kwakweli sote tunajua historia ya Tout Puissant, ni timu ambayo ina rekodi nzuri sana kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Waswahili wa bara wanasema historia haidanganyi. Lakini kiuhalisia sio kila historia itazungumza ukweli wa baadae. Muda ndiyo hakimu wa Haki.

Hata hivyo Kumekuwa na vigelegele vingi mtaani juu ya mageuzi ya soka kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambayo SSC imeweza kuyaonesha, hili ni jambo zuri lakini ni wakati sasa wa kuutazama ukweli kwa Big Picture na kuacha Fantasy zote behind.
----------------------------

UKWELI MCHUNGU KUHUSU SIMBA.

Tumeona jinsi ambavyo simba ilivyopoteza michezo yote ya ugenini. Ni kipigo baada ya kipigo na kufanya jumla magoli kuwa 12 kwa ugenini tu. Simba imeonesha uwezo wa chini sana kwa mechi za ugenini na kitu kikubwa ambacho tumekiona ni wachezaji kushindwa kujiamini wakiwa ugenini.

Na hili linaonekana hata kocha ameshindwa kulipatia ufumbuzi tatizo hili.
Inasikitisha sana kuona wachezaji wanategemea kushinda nyumbani tu, na kuwa kikapu cha mipira ugenini. Tuliona JS Saoura alivyomdindia As Vita pale Kongo na kufungana 2-2, huu ndiyo mpira, mchagua jembe si mkulima.

Tout Puissant ni timu yenye wachezaji wazuri, kasi nguvu na akili en plus Expérience ya michuano hii. Nimesema tunaacha fantasy zote na kuuangalia ukweli uliyo Uchi.

Simba ikicheza na Tout Puissant kama ilivyocheza na Vita ugenini au JS Saoura kule Algérie basi tutegemee kadhaa na aibu kubwa kwa kasi na uchu wa kombe walionao
Tout Puissant.

Simba itaweza kupigwa goli hata kumi kule kongo ikiwa haitobadilika. Huyu kocha wa sasa hajawahi kueleweka kwa mechi zake za ugenini na ikumbukwe kwamba round hii unatakiwa kubalance kati ya ugenini na nyumbani ili uweze kufanikiwa.

Simba itaweza kubadili matokeo na kuandika Historia mpya ikiwa,

1. Atapatikana mwana saikolojia ili awaandae wachezaji kisaikolojia kwamba wanauwezo wa kufanya lolote.

2. Kocha aangalie formula ambayo itazaa goli ugenini, ni lazima kushinda angalau goli ugenini hata akifungwa but awe na goli la ugenini. Formula alizotumia zote kwenye makundi hajafanikiwa kupata goli ugenini hata moja. This is BS.

3. Wachezaji ambao hawana experience na michuano ya kimataifa wasipangwe. Goli ambalo Chama alilifunga linahitaji utulivu wa akili na confidence kubwa kwa dakika kama zile, lakini mtoto Chama alitulia na akaweka mpira wavuni, kwa wachezaji wetu ambao hawana experience wangepaisha juu. Chama huyu huyu ndiyo aliyeipeleka Simba kwenye makundi kwa dakika zilezile. Experience Matters a lot.

4, Mo anatakiwa kusajili wachezaji sio chini ya watatu ambao ni pure international wenye sifa na experience nzuri kimataifa kwa ajili ya michuano ya kimataifa inayokuja. Tumeona faida ya Chama kwenye game zenye namba tasa.

Ninaamini wachezaji wazuri hawawezi kukataa kwa sababu tayari Simba imejiweka kwa position nzuri kimataifa. Kwa muktadha huo timu itaweza kufika mpaka fainali na kutoa fursa kwa klabu nyingine nyumbani.

Imefika wakati sasa tuwekeze kwenye soka.

Tofauti na hapo, Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba

Tout Puissant- Nguvu kama Zote.

Thursday 21, March 2019.
-----------------

MK54
 
Kuna watu wanajfanya wanajua sana Mpira na analysis zao za kiboya mnatakiwa mjue kwamba kila game au mashindano yana plani yake..Kwa mfano. Kwenye makundi ilikua wazi kwamba game plan ya simba ilikua ni kushinda game za nyumbani zote,kitu ilichofanikiwa Kwa asilimia mia...sasa MTU unavyoleta analysis zako za kiuwendawazima watu tunaiushangaa,hivi kwenye tathmini zenu mbona amsemi tulivyowafunga Mbabane swallows gori NNE bila nyumbani kwao!?Mpira unamahesabu yake sio kuruka ruka tu..nabhaya mambo ya kutafuta sifa na mwenda kichwa kichwa ndo yanaua soka LA bongo..simba uko imara na uko determined kupata matokeo na kusonga mbele!!

Kwahiyo plan ilikuwa kushinda game zote za home, na kufungwa zote za ugenini, is that what you mean ?

Wenye macho wameona na kusikia, wewe endeleza ubishi.

Hii ni sms kwa SSC, kama inakuumiza, pole.

But game za ugenini timu ilifungwa kwa poor performance na kwa taarifa yako nilikuwa uwanjani katika mji wa Bechar kule Algeria, niliona magoli yote.

Tout Puissant ni timu ngumu lakini itafungika endapo simba itabadili mtazamo.
 
Kama kuna uwezakano wa kusajiri.. Basi hao wachezaji watatu..wawe beki wakati..kiungo mkabaji na mshambuliaji.
 
Kwahiyo plan ilikuwa kushinda game zote za home, na kufungwa zote za ugenini, is that what you mean ?

Wenye macho wameona na kusikia, wewe endeleza ubishi.

Hii ni sms kwa SSC, kama inakuumiza, pole.

But game za ugenini timu ilifungwa kwa poor performance na kwa taarifa yako nilikuwa uwanjani katika mji wa Bechar kule Algeria, niliona magoli yote.

Tout Puissant ni timu ngumu lakini itafungika endapo simba itabadili mtazamo.
Kuwa uwanjani doesn't make a difference na Mimi niliekondar kwenye TV,tena inawezekana Mimi nilikua clear kuliko wewe.. Ngoja nikwambie kitu kimoja...football is mathematics,kam hujui hesabu huwezi kuwashabiki au mchezaji mzuri Wa Mpira..kama ungekuwa muungwana kwanza ungewapongeza simba for the work done haikuwa kazi rahisi,simba amepita kwenye kundi lenye mafinalist wawilo Wa makombe ya CAF,kwakuwe mmeumbwa na vinyongo you can't appreciate that..kwanini mkiongelea game za ugenini sisikii mkiwaongelea Mbabane!?this is another round with new tactics... Msitu mpya nyani walewale!!
 
Hujaelewa hata meseji yangu.

Huu ukweli mchungu wewe haukuhusu. Wewe huna moyo, wenye moyo wameshaelewa what was the main point.

Kapande kitandani ulale please, it’s too late .
 
Back
Top Bottom