BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
Shortage ya utaifa....!!! Ha ha haaa! ( kasema ukweli , fanya vizuri zaidi uteuliwe, ila anahakika mwizi wa dawa hawezi kuteuliwa badala yake)
In leadership, personality and style cannot be separated from issues, it is also an issue.1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD
2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.
3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii
4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu
5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.
6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati
7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba
8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.
9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.
10-Hivi karibuni huduma za afya zitaanza kulipiwa kama maji na luku kupitia MPESA,AIRTEL MONEY N.K
11-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.KILIO KINATOKA WAPI??
HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO
USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!
ITAENDELEA...
BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
I have never seen her intimidating a professional with sound conducts!...I have made a follow up on her through out from managing The District to OR TAMISEMI.No records can be found to explain that she has ever intimidated her subordibates rather she is amongnst inspirational haelth personalities in the past decade.In leadership, personality and style cannot be separated from issues, it is also an issue.
We can chew gum and walk, this is not a mutually exclusive equation.
A minister can and should perform excellently without needlessly berating the innocent in a fascisistic Queen Bee manner.
So what?Kasema yeye ni Field Marshall
I wonder if you're not in the healthcare system!In leadership, personality and style cannot be separated from issues, it is also an issue.
We can chew gum and walk, this is not a mutually exclusive equation.
A minister can and should perform excellently without needlessly berating the innocent in a fascisistic Queen Bee manner.
I haven't even lived in Tanzania for more than 20 years now.I wonder if you're not in the healthcare system!
Of course.You have low standards.I have never seen her intimidating a professional with sound conducts!...I have made a follow up on her through out from managing The District to OR TAMISEMI.No records can be found to explain that she has ever intimidated her subordibates rather she is amongnst inspirational haelth personalities in the past decade.
none among the innocent health professionals has sufferred from her words or acts rather she has been the school of new sustainable thoughts /innovations in streghthening the health sector.
TUSIMOENEE WALA KUMUONEA WIVU
hakika yatakaa sawa.maana walikuwa wakiambiwa wanaanzisha majungu sasa hakuna pa kupeleka majungu.
Wewe ni mpumbafu wa wapumbafuNgoja watetea majizi na mafisadi chadema waje.
Sasa hivi badala ya kujihoji kwa nini Chadema imekufa kila mahali ,wako bize kumzuia waziri Dr Gwajima asitimize majukumu yake.
Then why are you defending these people who killing us everyday? I guess u enjoy people dying!I haven't even lived in Tanzania for more than 20 years now.
Your speculation is waaay off target.
Kilio chatoka kwa wapigaji. Mwacheni anyoshe wizara hii ya afya. Mission yake ikikamilika rais ampeleke wizara ingine nako akanyoshe watendaji.1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD