Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kizimkazi festival Haina ubaya wowote ni nzuri kwa maendeleo ya eneo husika na kwa historia ya kiongozi wetu hasa Huko paje! Basi yafanyike Yale yenye manufaa haswaa! Kwa nchi nzima, tuwe makini na upendeleo uliopita kiasi.
Kizimkazi festival ni endelevu maana yake itafanyika kila mwaka mpaka pale utawala utakapobadilishwa Kwa mujibu wa katiba 2030. Ikiwa Kila mwaka itakuwa kizimkazi festival basi akimaliza muhula wake wa utawala kizimkazi itakuwa London! Sitegemei kuyaona ya Chato lakini naamini tutaona mengi mazuri na hovyo kabisa.