Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nawe hutaki Kizimkazi kuwa hiyo "London" usemayo ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]Kizimkazi festival Haina ubaya wowote ni nzuri kwa maendeleo ya eneo husika na kwa historia ya kiongozi wetu hasa Huko paje! Basi yafanyike Yale yenye manufaa haswaa! Kwa nchi nzima, tuwe makini na upendeleo uliopita kiasi..
Kizimkazi festival ni endelevu maana yake itafanyika kila mwaka mpaka pale utawala utakapobadilishwa Kwa mujibu wa katiba 2030! Ikiwa Kila mwaka itakuwa kizimkazi festival basi akimaliza muhula wake wa utawala kizimkazi itakuwa London! Sitegemei kuyaona ya Chato lakini naamini tutaona mengi mazuri na hovyo kabisa..
Hata yale ya Chato yako "overrated" kisiasa tu....
Chato nao ni raia....
Kizimkazi nao ni raia....hawastahili maendeleo?!!!
Kumpeleka Rais nyumbani kwao ni kumpumzisha na "kurelax" mind yake....kazi yao ni TIRESOME zaidi ya mbeba zege kila siku....atapumzika mule Ikulu Dar tu?!!
Atapumzika Ikulu Dar tu?!!
Hata Rais ukiwa wewe....ninakuombea uwe na "festival" huko kwenu kwa sababu ya afya ya mwili na akili...
Festival sawa....ila pia ni kwa ajili ya hiyo "recreational"....