Pre GE2025 Yaliyojificha nyuma ya pazia maandamano ya CHADEMA Januari 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.

Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika akiwa pamoja na Wenyeviti wa CHADEMA wilaya zote za Dar es salaam na Kata zake.

Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano.

Moja ya wajumbe ambao wako ndani ya hicho kikao (Jina tumelihifadhi), alihoji kuwa hiyo sio Plan nzuri maana inaweza kupelekea Chadema kionekane Chama kisichofaa, Mjumbe huyo alitishiwa kuwa anyamaze na alipohoji kuhusu haki yake ya kuchangia kwenye kikao, Mwenyekiti wa kikao John Mnyika na Makamu Mwenyekiti Benson Kigaia aliamuru atolewe nje.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Mwisho niwaombe Jeshi la Polisi, ni kweli mmewaruhusu hawa watu wafanye maandamano ya amani, lakini wenzenu hawana nia ya amani wanalenga kuvuruga amani, hivyo tunaomba na nyinyi muwe macho kwenye kipindi hiki, kama mlikuo mnapumzika mchana, sasa msipumzike tena, wekeni watu wenu kila kona ya Dar es salaam, maana lolote linaweza kutmlikuo
We papai kaliwe huko Kimboka...
 
Kweli mtu mzima ukatunge uongo kisa kuitetea ccm inayotuumiza kila siku..... Sawa unaweza ukawa unalamba asali ila je familia na kizazi chako wanalamba pia na je unanifaika nini nchi ikiendelea kunyonywa

Hakuna faida ya uongo jitahidi usionyeshe ujinga wako.

Jina nina mashaka nalo nahisi limepungua herufi nayo ni A
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.

Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika akiwa pamoja na Wenyeviti wa CHADEMA wilaya zote za Dar es salaam na Kata zake.

Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano.

Moja ya wajumbe ambao wako ndani ya hicho kikao (Jina tumelihifadhi), alihoji kuwa hiyo sio Plan nzuri maana inaweza kupelekea Chadema kionekane Chama kisichofaa, Mjumbe huyo alitishiwa kuwa anyamaze na alipohoji kuhusu haki yake ya kuchangia kwenye kikao, Mwenyekiti wa kikao John Mnyika na Makamu Mwenyekiti Benson Kigaia aliamuru atolewe nje.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Mwisho niwaombe Jeshi la Polisi, ni kweli mmewaruhusu hawa watu wafanye maandamano ya amani, lakini wenzenu hawana nia ya amani wanalenga kuvuruga amani, hivyo tunaomba na nyinyi muwe macho kwenye kipindi hiki, kama mlikuo mnapumzika mchana, sasa msipumzike tena, wekeni watu wenu kila kona ya Dar es salaam, maana lolote linaweza kutmlikuo
Ewe mchumia tumbo.
Katiba ya Tanzania inatambua na kuruhusu maandamano.

Wewe ni una mamlaka gani kupinga haki ya kikatiba?
 
Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano
Mna propaganda za kipumbavu Sana sijapata kuona
 
Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Kama unahisi una ushahidi, jeshi la polisi lipo nenda katoe taarifa wao wanaita intelijensia...

Kuja kupuyanga JF kwa taarifa kama hizi ni ubabaishaji wa kutafuta likes...
 
Amani Golugwa, Katibu wa chadema kanda ya kaskazini,
Does not make sense, logically haiwezekani,
CDM wana utaratibu wao na msemaji wao na viongozi wa ngazi za juu wenye kuweza kuisemea CDM, kwa nn Amani Golugwa akisemee chama wakati hana hiyo mandate? Uongo huo!!
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.

Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika akiwa pamoja na Wenyeviti wa CHADEMA wilaya zote za Dar es salaam na Kata zake.

Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano.

Moja ya wajumbe ambao wako ndani ya hicho kikao (Jina tumelihifadhi), alihoji kuwa hiyo sio Plan nzuri maana inaweza kupelekea Chadema kionekane Chama kisichofaa, Mjumbe huyo alitishiwa kuwa anyamaze na alipohoji kuhusu haki yake ya kuchangia kwenye kikao, Mwenyekiti wa kikao John Mnyika na Makamu Mwenyekiti Benson Kigaia aliamuru atolewe nje.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Mwisho niwaombe Jeshi la Polisi, ni kweli mmewaruhusu hawa watu wafanye maandamano ya amani, lakini wenzenu hawana nia ya amani wanalenga kuvuruga amani, hivyo tunaomba na nyinyi muwe macho kwenye kipindi hiki, kama mlikuo mnapumzika mchana, sasa msipumzike tena, wekeni watu wenu kila kona ya Dar es salaam, maana lolote linaweza kutmlikuo
Ulivyotabiri ndivyo hivyo leo?
 
Back
Top Bottom