Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Kitila Mkumbo alikuwa Katibu Wizara ya Maji na ndiye aliyewaletea Ubungo Maji hayoKitila apata aibu kubwa mkutanoni, ni baada ya kuwauliza akina Mama kama wana maji, wakamjibu Ndio! Alitegemea jibu la hapana ili amu-outsmart Mnyika na Chadema....kaumbuka
Hakumaanisha Mnyika ila ni yeye kajipigia debe