Couple ipi imeshinda? wale vijana mhh wanajua kujituma. nilitamani kila mmoja apate hiyo Milion kumi. ila nyimbo walizokuwa wanapigiwa wacheze hazikuwa tamu sana masikioni. Hizi rumba na chacha sijui nani alizichagua.
Mimi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa kipindi hcho tangu kinaanza,kiukweli ile couple no11 walistahili,japo wengi wao pale ukumbini walitaka washinde couple no 08.