Yaliyojili tikisa show !!!

Yaliyojili tikisa show !!!

Sngs

Senior Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
110
Reaction score
9
Jamani nasikia ile show imekwisha leo lakini madai yaliyopo mpaka wanamaliza washindi walipangwa !! Kweli chakachua haitakuja kuisha kamwee!!
 
Unavyoona hapo kuna hitimisho lililoandikwa hapo! Hizo ndoto zinakupeleka pabaya !!
 
kwa kuwa hawakuonyesha kura? Hata hivyo washindi walistahili
 
Couple ipi imeshinda? wale vijana mhh wanajua kujituma. nilitamani kila mmoja apate hiyo Milion kumi. ila nyimbo walizokuwa wanapigiwa wacheze hazikuwa tamu sana masikioni. Hizi rumba na chacha sijui nani alizichagua.
 
Mimi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa kipindi hcho tangu kinaanza,kiukweli ile couple no11 walistahili,japo wengi wao pale ukumbini walitaka washinde couple no 08.
 
Back
Top Bottom